Natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye umri uwe 18 - 28

Natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye umri uwe 18 - 28

Mwenyewe kusema wa kuchati nae mbona mnamsakama?
 
ngoja nikuweke kwenye group la watsapp linasound vile wewe unataka

28yrs kuchat ipo ila sio kwa style hii uliyokuja nayo
 
Acha ujinga wew sema Ukweli kua unatafuta dem/mke.
Etii oooh rafik wa kike wa kuchat nao, Yaan unatak mue mnachat tuu? kwan mtaani kwako hakuna wanawake?
To make the long story short ni Kua Hakuna Urafiki kati ya Paka au Simba na Panya au Swala. Unatafuta dem wew
Mkuu kwa kweli naanza kukubaliana na mwanajanvi mwenzetu humu kwenye jukwaa aliposema madomo zege litangazwe kuwa ni janga la kitaifa. Yaani Vijana hawana confidence ya kumkabili demu! !!,kwa kweli hii ni hatari, tuna vijana wengi suruali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom