Natafuta rafiki wa kike wa kujenga nae maisha

Natafuta rafiki wa kike wa kujenga nae maisha

boys

New Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
1
Reaction score
1
Nimemaliza my first degree of accounting and finance,kiukweli nahitaji msichana mtulivu wa kuja kuishi nae awe serious,mweupe asiwe mrefu sana,umri 18-22,awe mcha Mungu kama umekizi vigezo text me thru 0712 099 116
 
unafanya kazi au bado hujafanikiwa kupata kazi?
hilo ndio la muhimu mengine baadae!

 
Hiyo ndiyo elimu ya vijana wengi. Kisa kamaliza Degree ati anakuja mtandaoni kutafuta mwanamke. Utawaweza wa mtandaoni??? We kijana???? ELIMU YAKO IKUKOMBOE BWANA-KWANI HUKUWA NA MABINTI CHUONI, FORM 6 AU HATA FORM 4. Acheni hizo.
Tafuta hata form foru aliyefeli mdanganyedanganye umchukue, siyo kujishushia heshima mtandaoni.
 
Kumbe maisha yanajengwa na msichana? kuna kichwa kingine kisichoonekana kimehusika kufikiri. Pole!
 
Back
Top Bottom