Natafuta rafiki wa kike wa kujenga naye mahusiano yenye malengo

Dogo GSM

Member
Joined
Jul 31, 2021
Posts
65
Reaction score
91
Hallooo hodi humu ulimwenguni..mimi ni mfuatliaji wa jf kitambo almost miaka mitano nyuma ila kutokana na ubize na kutokuwa na mood ya kuexist kipindi hicho now nimeamua kujiregister kabisa mazima.

Bila kupoteza muda post yangu ya kwanza inaanza na lengo langu la msingi tuu. Mimi nahitaji rafiki wa kike au msichana ambaye tutajenga mahusiano ambapo Mungu akipenda tutaoana.Ninaishi iringa ambako ndiko nipo kikazi hukuu.kwa maelezo zaidi unaweza kunipm ili tuone kama tutaweza kuelewana na kujuana zaidi.

NB:nahitaji msichana si mwanamke.picha ni kwaajili ya ID ya jf tu.

FB_IMG_16273529785710681.jpg
 
Hallooo hodi humu ulimwenguni..mimi ni mfuatliaji wa jf kitambo almost miaka mitano nyuma ila kutokana na ubize na kutokuwa na mood ya kuexist kipindi hicho now nimeamua kujiregister kabisa mazima.

Bila kupoteza muda post yangu ya kwanza inaanza na lengo langu la msingi tuu.mimi nahitaji rafiki wa kike au msichana ambaye tutajenga mahusiano ambapo Mungu akipenda tutaoana.Ninaishi iringa ambako ndiko nipo kikazi hukuu.kwa maelezo zaidi unaweza kunipm ili tuone kama tutaweza kuelewana na kujuana zaidi.

NB:nahitaji msichana si mwanamke.picha ni kwaajili ya ID ya jf tu.View attachment 1894844
Kwa hiyo huyu kwenye picha ndo wewe?
 
Karibu mkuu subiri waschana wajeeee
 
Back
Top Bottom