philosophy
Senior Member
- Nov 11, 2012
- 104
- 42
Mimi ni kijana wa miaka 23,niko peke yangu, na mwanafunzi ninayejielewa, namtafuta mrembo wa kuwa na mimi kama wapenzi. Mdada huyu atakeyeridhika na mimi awe na elimu ya kuanzia kidato cha 4, asiwe wa kutangatanga mara katoka huko ndo anaona kwngu pa kukimbilia, pia sibagui kabila, awe na mawazo ya kujenga na awe mvumilivu wa shida na kalaha; asiwe mfupi urefu wake uwe kuanzia futi 5 hadi 6, na asiwe mnene. atakayekidhi vigezo na kuridhika kuwa na mimi ajibu na kuweka namba yake ya simu mimi nitampigia.