Ulipendekeza, nikimpata rafiki asiye na lengo la monetary benefits nilete marejesho, Taarifa NI kwamba, Saa 11 jioni Nashukuru, ombi langu limefanikiwa nimempata rafiki, nitajitahidi urafiki wetu udumu.
Kwa kuzingatia Sheria ya faragha na kanuni za jamii forum, sitamtaja. Ahsanteni Sana Kwa Maoni na ushauri