Mods angalieni upya utaratibu wa kujisajiri humu jamvini, at least mtu awe na uthibitisho kwamba ana umri zaidi ya miaka 18, na ka-registration fee kidogo
Hiivi unafikiri utapata mtu unayemtaka hapa? Jaribu kutafuta muda umtafute physically, punguza ubusy wa kazi zako. Pata japo masaa mawili ujichanganye sehemu za watu utakutana nao wengi tu labda kama huwezi kutongoza.
Mods angalieni upya utaratibu wa kujisajiri humu jamvini, at least mtu awe na uthibitisho kwamba ana umri zaidi ya miaka 18, na ka-registration fee kidogo