Mwanaomayu
Member
- Jan 26, 2017
- 44
- 35
Asante mkuu..mimi nipo 30 now.Bila shaka wewe utakuwa kati ya 30-32yrs old. Kila la heri katika kuyajenga. Ila kuwa makini.........
Natafuta rafiki kwanza mkuu, kupitia urafiki huo ndyo ntaona kama tunaweza kuyajenga.Hivi mtu kuwa rafiki yako lazima vigezo vyote hivyo?
Au unatafuta mke?
Kuwa wazi.. anza na sifa zako. Anaweza kuja akakudai vyeti !!
Au nishachelewa?!Hellow guys..natafuta rafik wa kike umri 22-26. Awe mkirsto wa roman catholic au hata lutheran. Pia awe na elimu kuanzia ya chuo, iwe diploma or degree ts ok, ambaye tayr anafanya kazi, vizur zaid akiwa government employee. Like awe mwalimu hivi, or lab techinician or any health personell. Sichagui kabila...mimi ni daktr..nipo around korogwe now. Ambaye atakua interested aje pm tuyajenge. Thanks.
Bado..karibu pmAu nishachelewa?!
[emoji2] [emoji106] [emoji106] [emoji106] nakujaaBado..karibu pm
Apate mara ngapi mkuuuSky Eclat usipopata mchumba hapa ndo basi tena![emoji1][emoji1][emoji1]