Habari ya muda huu wakubwa..!!
Kama nilivyo anza juu hapo mimi natafuta rafiki wa kike yani/ girlfriend..!! Binafsi Umri wangu 24..!! Vigezo mwanamke awe na upendo wa kweli..!! Npo serious wakubwa kwa hili naomba uni PM kama upo tayari..! Pia nipo dar hivyo ntafrah kama naye atapatikana apa au eneo la karibu..