Natumain mpo wazima ndugu na jamaa kama kichwa cha hii topic kinavyojieleza hapo juu
Mm ni kijana wa kiume natafuta rafiki wa kike kwajiri ya kubadilishana mawazo
Kwa yeyeto ataevutiwa na hili andiko naomba tukutane PM japo kuwa ni ngumu kupata kutokana na uringaji wa wanawake wa humu lakn Nina iman wapo watakao nielewa
Naomba kuwasilisha
Please Ladies njoo PM