Natafuta rafiki wa KIKE,

Kipozeo85

Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
39
Reaction score
37
Kama kichwa kinavyojieleza.
Wasifu wangu
jinsia: Mwanaume, Umri miaka 32, Elimu: Diploma, Kipato: cha Chini, halali. Ajira: binafsi. Makazi: Njombe, ila safari Iringa, Moro, Dar mara kwa mara. Dini: Mkristo, Mkatoloki mwenyewe hofu ya Mungu.

Mlengwa/mtarajiwa
Umri: 19-25
Asiwe bonge au mwembamba 45-70kgs.
Asiwe mrefu sana, awe < 175cm
Asiwe amezaa, ikitokea si zaidi ya mtoto 2.
Awe tayari kupima vvu na kuona hapo baadae.
Elimu: Kipato cha nne na kuendelea, mwenye uzoefu wa biashara atapewa kipaumbele.
Dini: sichagui, Asiwe mlokole au msabato, muislamu awe tayari kubatizwa na kufuata taratibu nyingine.
Kipato: hata kama hana cha uhakika, naamini tutaelekezana na tutatoka ili mradi awe tayari kujifunza(anafundishika)
Sipendi ma make up (hasa shedo), makucha marefu na mawigi.

Kwa aliyetayari au kunishawishi kuviacha baadhi ya vigezo Karibu PM.

Kipozeo85
 
dah nimekosa mume[emoji24][emoji24]sifa zote ninazo kasoro kwenye mawigi na shedo,siwezi kuishi bila hivyo vitu........ legeza masharti mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mavigezo lukuki utafikiri bango la ajira, punguzeni kuchagua chagua mtakufa masingle.
 
Mavigezo lukuki utafikiri bango la ajira, punguzeni kuchagua chagua mtakufa masingle.
Ukuje kwa round table kule PM tushauriane tuyajenge, hilo nimelieleza. Hugo tutaelekezana kigezo kipi ni kikwazo na unapendekeza kiondolewe au kiboreshwe kwa sababu ambazo utazianisha. Just give a trial madam
 
Unatafuta rafki wa kike mtandaoni ili ufanye nae kazi ya biashara au awe mpenz, mchumba/Mke weka wazi mi apo cjakuelewa mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Length ni rafiki, ambazo anaweza akawa mchumba na mke hapo baadae. Tunaweza tukaishia Kuwa marafiki tu, sio ni lazima tufike mwisho. Likini kama tutafikia hatua ya uchumba na Kuwa couple, basi at least awe na skills za ubangaizaji/utafutaji kupitia biashara, kilimo au ajira iliyo rasmi. Kwa kirefu, tafadhali njoo PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…