Natafuta rafiki wa kike!

Natafuta rafiki wa kike!

Chris_Mambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2010
Posts
595
Reaction score
122
jamani yeyote aliye tayari kuwa na urafiki wa karibu naomba tuwasiliane. Ni PM nikupe details zangu.
 
wewe ndio unatakiwa unipe za kwako kwanza,maana ndiye uliyeomba urafiki.
details na profile
 
hata mimi....niko tayari kuwa rafiki yako
 
kha! sasa mnamkomoa jamani? basi na mm! nadhani ufanye shortlisting mtoa mada.
 
Back
Top Bottom