Natafuta rafiki wa kike

Gadafi90

New Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenyu mabibi na mabwana najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki wa kike sharti awe mkweli kwa kila jambo.Ahsanteni
 
wallah nakwambia sijawahi kudanganya hata siku moja........hakyanani vile......
 
ibukia kwenye madangulo ya manzese kona bar na uwanja wa fisi wapo wengi
 
<font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">wallah nakwambia sijawahi kudanganya hata siku moja........hakyanani vile......</span></font></font>
<br />
<br />
ulinidanganya unakuja mpwapwa.
 
Kila la heri Gadafi.....!!! Mhhh hilo jina linaogopesha.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…