Natafuta rafiki wa kike

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Kama inavyosomeka ndivyo ilivyo. Awe mtu mzima kuanzia miaka 30 hadi 45. Kama vipi nipe majibu kwa private message.
 
unamtaka wa nini?

Rafiki ana faida kubwa! Ni bora kuongeza rafiki kuliko adui, sina nia mbaya na ningekuwa na nia mbaya nisingetangaza wazi.
 
Rafiki ana faida kubwa! Ni bora kuongeza rafiki kuliko adui, sina nia mbaya na ningekuwa na nia mbaya nisingetangaza wazi.
so ni urafiki tu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…