dah hivi ni kweli ninacho kisoma hapa? nahisi huelewi unacho taka! unataka mchumba au mke? au mwana funzi? jamani nahisi ukurasa huu umevamiwa na wasiojuwa maana halisi ya ukurasa huu. waachieni wahusika naningependa ukurasa huu uheshimike na ubakie na hazi yake.