WanaJF,
Mi ni kijana wa miaka 27, naishi Dar na nimeajiriwa. Ni Mkristo na natokea Kanda ya Ziwa. Natafuta Rafiki wa Kike (Girl Friend) aliye na umri wa kati ya miaka 18 - 24. Kwa yule ambaye yuko serious, nitampa private contacts zangu. Niko serious, sipendi utani wala kubezwa. Kama hauko interested nipotezee!
Karibuni!