Mimi jina langu naitwa John na natafuta rafiki atakayekuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kimapenzi kwa jinsi muda unavyokwenda na jinsi mambo yenyewe yatakavyokuwa. Sijielezi saana maana ntaondoa utamu wa kile kipindi cha kufahamiana. Ukiwa interested, please don't hesitate to pm me. I am only interested ingirls only