Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

east72

Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
36
Reaction score
2
Mimi ni mgeni Dar kutoka enchiladas jirani.Nafanya kazi hapa(expatriate).
Natafuta rafiki wa karibu wa kike. Mrembo na wa tabia nzuri.
Awe anaishi Dar,.Miaka 25-40.
PM mimi tuongee mengi.
Asante.
 
Siku nyingine ukiwa unatafuta mchumba,unatakiwa kabisa ueleze
1.Unamiliki vitu gani-eg nyumba,gari,hotel n.k
2.Salio kwenye account yako
3.Kama mfanyakazi mshahara wako wa mwezi,au kama mfanyabiashara kipato chako kwa mwezi
Zingatia hayo ndo mambo muhimu ya kimaisha ya kutaka mrembo na sio aina au jina la kazi wala umri!!si unamuona mwenzio mengi?unafikiri k-lyn kafuata umri au ile sura ya kimachame?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom