Siku nyingine ukiwa unatafuta mchumba,unatakiwa kabisa ueleze
1.Unamiliki vitu gani-eg nyumba,gari,hotel n.k
2.Salio kwenye account yako
3.Kama mfanyakazi mshahara wako wa mwezi,au kama mfanyabiashara kipato chako kwa mwezi
Zingatia hayo ndo mambo muhimu ya kimaisha ya kutaka mrembo na sio aina au jina la kazi wala umri!!si unamuona mwenzio mengi?unafikiri k-lyn kafuata umri au ile sura ya kimachame?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums