Natafuta rafiki wa kiume company tu

Mi nipo karibu sana maadhali, tutasaidiana na kupeana pale inapotokea shida,tegemea kabisa kua si kwa ajili ya mapenzi kama ulivyosema,ni pale nnapojisikia tu ndo waeza kunisaidia sio kila siku kwani naamini sitokua na shida hio kila siku! Urafiki wetu utaendelea bila shaka yoyote
 
Naogopa unaweza ukawa dume jike.
 
si useme kuwa umeachwa kiaina, sasa unataka to show ur X that is nothing coz unapendwa haraka. Umeshindwa nini kupata mume barabarani, nakushauri uende bar utakuta wanaume wenye msongo kama wako mtasaidiana kama utakavyo. Jigjig hai:yo::frusty:kwepeki hata kama mke wa mtu, kibaka we
 
Huna haja ya rafiki,shida yako unataka utolewe out,sifa zote hizo za nini,muangalieni huyu anatafuta kuchuna tu!
 
Mtu makini mwenye akili timamu na fikra pevu hawezi kuleta utani katika kitu cha maana, jamani kwa ambaye hayoku tayari kuliko kuanza kuandika utani na kwenda nje ya mada mngenyamaza,mwenzenu anashida hivyo anataka aliyeko tayari wawasiliane.
Kama huna vigezo mpotezee
 
urafiki cku hizi unachagua hadi umri!! tusio kuwa na magari ndo ishakula kwetu bhaaaaaaaana
 
Mimi nnazo vigezo vyote ntakupata vp?
 

Hivi umefulia!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…