natafuta rafiki wa kiume wa ukweli

ma jery

Senior Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
171
Reaction score
65
mimi ni mdada nina miaka 29 ninatafuta rafiki wa kiume mwenye sifa zifuatazo.
1 miaka 33-37
2maisha ya kueleweka
3 awe mkristo na awe na hofu ya MUNGU
4awe mrefu kiasi na mweusi
5 awe na afya njema
6awe mtanzania na awe anaishi dsm
7asiwe na mtoto
8 asiwe amewai kuoa/ kuolewa
9awe mkweli,mwenye upendo wa kweli,mstaarabu,
10 asiwe mlevi anywe kidogo ila anywe
11msukuma au mgita atapewa kipaumbele ila wote mnakaribishwa

kama haupo siriaz pls stay away from me
 
We mwenyewe ushazeeka,tafuta wazee wenzio 2 mkuu..
 
Utapata lakini, yaonekana kaukabila unako.
 
hivi ww ni wakarine ya ngapi yaani rafiki tu ndio unakua na udini na ukabira? Au mme?
 
sijamaanisha tajiri awe na maisha ya kueleweka
 
We unatafuta rafiki halafu unabagua kabila maana yake nini? Halaf awe financially stable.....pesa na urafiki/upendo wapi na wapi? Haya kila la heri.
 
ila hamjanielewa fresh sio tajiri awe tu na maisha yanayoeleweka
 
hivi ww ni wakarine ya ngapi yaani rafiki tu ndio unakua na udini na ukabira? Au mme?
 
ni chaguo tu awe na maisha yanayoeleweka mwenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…