natafuta rafiki wa kiume wa ukweli

Tulioko mikoani ndo imekula kwetu siyo;sifa ksribia zote ninazo isipokuwa sipo Dar,tell,do i not qualified to ge you?
 
Hapo kwenye umri unatutenga anyway kuna swali unaulizwa unalikwepa, ni rafiki tu au mchumba?
 
Imekuaje tena dada mpaka utafute rafiki wa karibu kwa njia hii? Ooh its a long story... OK..labda naweza kuku saidia.. details kidogo una mtoto?
 
mimi ni mdada nina miaka 29 ninatafuta rafiki wa kiume mwenye sifa zifuatazo.
1 miaka 33-37

We mwenyewe ushazeeka,tafuta wazee wenzio 2 mkuu..[/QUOTE]
Ikiwa yeye ana miaka 29 na anatafuta wa 33-37, tatizo liko wapi?
Uwiano wa umri na urafiki/uchumba una kikomo gani?
Au sikufahamu vizuri "comment" yako?
 
Ulikuwa wapi kumtafta huyo rafki hadi umezeeka ndo unahangaika,me sifa zote hapo ninazo bt sitaki kuwa rafki yako make ur too much used!
 
mmmh ngoja nijiondokeee zangu coz mie sio mhaya...roho inauma coz vigezo vingine vyote nnavyo...any way all the best dadaaa,
 
Unaonekana Mbaguzi, kwa nini umeweka hadi vikwazo kwenye Umri?
 
Mi ni Muhaya, lakini pia sikutaki mama Jery kwakuwa una mtoto tayari na umeonyesha kuwa ni mkabila!! Yaani hata urafiki unataka awe finacially stable mhh, huu urafiki au utegemezi? Nahisi unatafuta mtu wa kukusaidia kutunza mwanao wewe, Nimeshtuka nshomile mimi!
 

Ma jery, Mtu anaweza kuigiza hizo sifa unazotaka (in red) kwa muda mfupi, then baadaye cha moto utakiona.
 
Sifa zote ninazo na mimi natafuta mwenye sifa kama zako ilaa....vipi..shepu yako..?pm
 
Ma Jery ..ingawa ni vizuri kuwa muwazi..lakini ndugu yangu hiyo CV uliyoweka hapo juu ni rahisi mtu kusoma upeo wako wa kufikiri..na Ku- disqualify ombi lako on the spot....

Kumbuka.. Mapenzi ..hayana utajiri, ukabila, udini, na eneo (mkoa).. Vitu kama huruma, upendo, uvumilivu..unatakiwa wewe ndio uvijenge..unasubiri upate "ready made" unategemea nani atakujengea? labda unase mume wa mtu..
 
ujana wako ule na nani na uzee wako unataka kula na nani. Kwenda zako
 
Ulikuwa wapi kumtafta huyo rafki hadi umezeeka ndo unahangaika,me sifa zote hapo ninazo bt sitaki kuwa rafki yako make ur too much used!
Even if, acha wenzako watachukua sio lazima uwe wewe. Eti used....are u not used? umejiangalia vizuri wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…