Natafuta rafiki wa kiume

Nipigie kwa 0718754110
 
Au bipu tu
 
Bazazi yupo tayari. Bahati mbaya anaishi Kusini matakoni mwa Tanzania karibu na Daraja la Umoja (Mtambaswala). Tafadhali nikaribishe kubadilishane mawazO
 
Usijari yataisha tu, usivunjike moyo, pambana,
Kuendelea kupata maneno kama haya tafadhali ni pm
 
una mawazo gani hayo lukuki?
 
Karibu
 
Karibu sana, umenipata dada
 
Karibu sana, naamini hautakuwa mpweke. PM me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…