Binti Mzalendo
Member
- Aug 3, 2022
- 27
- 18
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
awe hajaoa.
Sijabahatika kuwa na kaka 😢Huna ndugu?[emoji848]
Hata kwenye ukoo wenu hakuna kaka?Sijabahatika kuwa na kaka 😢
🤣🤣🤣Sa 5 hii hujalalaSasa si urafiki tu kwanini unataka niwe sijaoa au unataka kunichezea uniache
KarbuMimi nitakufaa??
😂Sasa si urafiki tu kwanini unataka niwe sijaoa au unataka kunichezea uniache
Hawazd wawili naowajua na ni watu wazimaHata kwenye ukoo wenu hakuna kaka?
KaribuNipo hapa.. kama hutojali
KaribuZote ninazo ila nimesomea ict 😂😂
Ayubu 19:14 " Watu wa mbari yangu wamekoma, Na rafiki zangu niwapendao wamenisahau."
KaribuSifa zote nnazo ila sijasoma Afya
Sijalala nipe muda nifikirie ombi lako🤣🤣🤣Sa 5 hii hujalala
Mungu akupe hitaji la moyo wakoNina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM