Natafuta rafiki wa kiume

Tayari ni dodo chini ya muharobaini 🀣🀣🀣 vyote Sina πŸ˜’πŸ˜—
 
Mimi mrefu mweusi nna ndevu kiasi pesa kiaina ila sijasomea afya ila afya ninayo
 
Kuepuka usumbufu usio wa lazima, na wewe ungeweka za kwako ili atakayeamua kukuPM asiwe na maswali zaidi.
 
Hivi nasiye wanganga wa kienyeji si madokta? Basi njoo mumy
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Afya imegawanyika, fafanua.
Pia waweza tuma na picha zako 😌
 
Duh! Vigezo vyooote ninavyo.. lakini nashindwa kuelewa hapo kwenye rafiki/kaka af pia asiwe ameoa.
Anyway, mechi bado mbichi.πŸ€”
 
Nimesoma HR mrefu futi sita mweusi dah inaniuma sijasoma afya.
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Sijasomea afya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…