Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 609
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tupe sifa zako kwanza.
Una kiuno nyigu?
Una msambwanda?
Guu la bia?
Ziwa konzi yaani Lile saa sita?
Macho ya goroli? na meupe
Sura ya mviringo?
Nywele za Masai?
Una shahada ngapi?
Una kazi?
Una gari [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]?
Una Nyumba?
Una mtoto?
Dini yako?
Jibu hayo Wana wajimwaye mwaye, isije ikawa mtu anaokotwa dodo chini ya mpapai
Ninafanya kazi na nimesoma afya ila sifa zingine sina na siwezi kuahidi kuwa kaka na sitaki kuwa kaka wakati nitakudinya tuNina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM
Hata namna ya kuchemsha maji ya kunywa?Sifa zote nnazo ila sijasoma Afya
Kutokusomea Afya kumenishanikosesha rafikiNina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM
Mambo?Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huna ndugu?[emoji848]
Mtracle upo? [emoji39][emoji39][emoji39]Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM
Unaishi wapi bibie?Ndio hata HW
NipoNina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM