Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Binafsi nina 39 nimekidhi vigezo yote kabisa,nawe nimeona sifa zako ila hujasema kalio la kutosha lipo au ndio kama dereva wa mwendo kasi,maana isije
Nikaja ile kukuona ukaanza kusema wanaume wote Umbwa.
 
Utaanzaje kuwa na mahusiyano kabla hamjawa marafiki?unatakiwa umfahamu mtu ndio mengine yaendelee.Nunatakiwa uwanze na 0 ndio ufike 10 na kuendelea sawa.
Ni kweli ila urafiki kwanza baadae kwenye mahusiano hawa watu wameshakufa siku hizi. Huwezi kuwa na rafiki halafu ukamtreat kama upo naye kwenye mahusiano. Ni ngumu na
Hutakiwi umbane, umpe vigezo wala asipokupigia simu usimuulize kwanini hajakupigia simu.
Mfano. Wewe ni rafiki yangu, umenipigia simu, nakwambia naenda kumuona Asha hospitalini au kwakwe. Unanuna unategemea nitakujibuje?
Kwasisi wanaume tuna pande mbili. Ukiwa na mwanamke rafiki ni rafiki tu na ukiwa na mwanamke siyo rafiki basi ni mpo kwenye mahusiano. Hapo lazima vyuma viumane.
 
MhhhπŸ™„
 
JamaniπŸ™ŒπŸ™„
 
Sema tu ukweli, kwani ukisema unamiaka 36 kuna shida gani
 
Sema ivi we ndio umeshtuka,mbona wengine wamejifanya kuponda hapa hafu wamekuja pm.Ila sinaga huruma na wanafki nimewapa za uso.
Umesema unataka urafiki lakini hao wazee utaongea nao nini kwenye hayo mazungumzo yenu ya urafiki!???[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kataa ndoa
ndoa ni wizi
kataa kuchunwa

tafuta pesa kula Bata usimsaidie Mwanamke labda Mama yako tu nenda kaa mbali Fanya kazi kula Bata usimsaidie mtu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daaah kazi kweli kweli
 
Bujibuji Simba Nyamaume
 
Binafsi nina 39 nimekidhi vigezo yote kabisa,nawe nimeona sifa zako ila hujasema kalio la kutosha lipo au ndio kama dereva wa mwendo kasi,maana isije
Nikaja ile kukuona ukaanza kusema wanaume wote Umbwa.
Thamani ya mwanamke imehamia kwenye kalio...
in nay wa mitego's voice.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…