Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo

Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo

Peter Musiba

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
8
Reaction score
0
M2 yeyote ndani ya jf ambaye yuko tayari 2we marafiki kwa ajili ya kubadilishana mawazo,kupeana changamoto kimaisha pamoja na kutchat,na si vinginevyo ajitokeze.
 
Mbona tupo wengi mkuu,ndiyo maana tumo humu na mitandao mingine.Au nipo nje ya mada?
 
haya kwa mfano me saizi nawaza nile coz njaa inauma,we unawaza nini???si ndo kubadilishana mawazo kwenyewe!!
 
haya kwa mfano me saizi nawaza nile coz njaa inauma,we unawaza nini???si ndo kubadilishana mawazo kwenyewe!!

Nadhani sikuwa namaanisha hivyo,unajua mawazo yako yanaweza kumbadilisha m2 kimaendeleo,kisaikolojia,hata kifikra
 
Back
Top Bottom