Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo?

Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Nina changamoto ya kushindwa kutoka nje yaani nakaa ndani sana nikitoka mjini mara moja au kwa shida maalum.
IMG_4643.jpg



Sasa nimeambiwa hili tatizo litaniletea madhara!!Hivyo nahitaji rafiki yeyote wa kuchat naye asiwe anaomba hela wala mtoto

Nawasilisha
 
Nachangamoto ya kushindwa kutoka nje yaan nakaa ndani sana nikitoka mjini mara moja au kwa shida maalum.

Sasa nimeambiwa hili tatizo litaniletea madhara!!Hivo nahitaj rafiki yyte wa kuchat nae asiwe anaomba hela wala mtoto

Nawasilisha
Nimesoma nikarudia tena , kila nikitaka kuelewa ndio kwanza nazidi kuchanganyikiwa zaidi
 
Kumbe we ni mzee mwenzetu. Tutakua tunashauriana tuu jambo lolote hadi upweke ukuishe kabisa😍😍😍😍😍
 
Back
Top Bottom