Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Kula bange
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] January inanyoosha watu kimya kimya
Asiwe anaomba Hela Wala mtoto
Mmmhh
Asiwe anaomba Hela Wala mtoto
Mmmhh
Nimesoma nikarudia tena , kila nikitaka kuelewa ndio kwanza nazidi kuchanganyikiwa zaidiNachangamoto ya kushindwa kutoka nje yaan nakaa ndani sana nikitoka mjini mara moja au kwa shida maalum.
Sasa nimeambiwa hili tatizo litaniletea madhara!!Hivo nahitaj rafiki yyte wa kuchat nae asiwe anaomba hela wala mtoto
Nawasilisha
Njoo tu uniombe mimi hela na mtoto huyu hataki vyote hivyoππππAsiwe anaomba Hela Wala mtoto
Mmmhh
π€£ππππππ January inanyoosha watu kimya kimya
Nimesoma nikarudia tena , kila nikitaka kuelewa ndio kwanza nazidi kuchanganyikiwa zaidi
[emoji1787][emoji16]
Ndo mm sasawe jamaa nikiona hiko kipicha naona kama ndo yule mchekeshaji[emoji3][emoji3]naww akili ndo izo izo
Kumbe we ni mzee mwenzetu. Tutakua tunashauriana tuu jambo lolote hadi upweke ukuishe kabisa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]