Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo?

Nina changamoto ya kushindwa kutoka nje yaani nakaa ndani sana nikitoka mjini mara moja au kwa shida maalum.

Sasa nimeambiwa hili tatizo litaniletea madhara!!Hivyo nahitaji rafiki yeyote wa kuchat naye asiwe anaomba hela wala mtoto

Nawasilisha

Una umri gani kwanza kaka?tuanzie hapo kwanza maana umesema hutaki mtoto
 
huna haja ya kuwa na rafiki,wewe fanya haya:
1.anza kutoka mwenyewe jirani na kwako,kuna baa nyingi chagua moja,nanda,kaa hapo kunywa kinywaji unachokunywa utakuta wanywaji wenzio anza kuongea nao,ndipo utabadilishana nao mawazo
2.kila siku nenda baa mpya
3 wikiendi nenda bichi kaa huko mpaka usiku,kwa utaratibu huo utauondoa huo upweke wako
 
Kuna mwamba anapigwa chepe leo Aridhi ikiwa na ikiwa teke teke kwa mvua yeye alinzaa kujifungia ndani toka mwaka jana juzi katuma watoto dukani yeye kajipiga kitanzi [emoji854][emoji854][emoji854] nenda kacheze draft kijiweni
 
Kajiua kisa nn
 
Hizo hela natoa wapi??

mi nikiwa na hela sihitaji marafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…