J junior john edward Member Joined Jun 24, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jul 14, 2013 #1 awe wa kike asizidi miaka 22 pia awe over eighteen, kwani naamini kwa kushare naye mawazo nitajua nimwanamke wa aina gani anaweza kunifaa kuishi naye.:A S kiss:
awe wa kike asizidi miaka 22 pia awe over eighteen, kwani naamini kwa kushare naye mawazo nitajua nimwanamke wa aina gani anaweza kunifaa kuishi naye.:A S kiss:
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jul 14, 2013 #2 Unatongoza kizamani...eti mwanamke wa kushare naye mawazo hahahah
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Jul 14, 2013 #3 Afu nna mawazo nataka kushare na wewe. Sina hela kabisaa hebu nipe wazo watu8 said: Unatongoza kizamani...eti mwanamke wa kushare naye mawazo hahahah Click to expand...
Afu nna mawazo nataka kushare na wewe. Sina hela kabisaa hebu nipe wazo watu8 said: Unatongoza kizamani...eti mwanamke wa kushare naye mawazo hahahah Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jul 14, 2013 #4 King'asti said: Afu nna mawazo nataka kushare na wewe. Sina hela kabisaa hebu nipe wazo Click to expand... Hahaha...tuanzishe genge hapo mtaa wa pili au wasemaje?
King'asti said: Afu nna mawazo nataka kushare na wewe. Sina hela kabisaa hebu nipe wazo Click to expand... Hahaha...tuanzishe genge hapo mtaa wa pili au wasemaje?
R Rasenka Member Joined Jul 1, 2013 Posts 44 Reaction score 3 Jul 14, 2013 #5 Mbona husomeki?Unatafuta rafiki au mchumba?