Natafuta rafiki wakuchati naye.

Abraham Bwire

Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
28
Reaction score
4
Hallo wana jamii. Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 26. Nimrefu kidogo, nakaa geita. Nahitaji rafiki wa kike wa kuchati naye. Awe na elimu angalau kidato cha nne. Awe na rangi maji ya kunde awe mwembamba na mrefu. Awe mkristo thehebu lolote, awena nakazi yoyote ilatu iwe inatambulika kisheria, awe na umri si chini ya miaka 21, awe mkweli na muazi. Mwenye sifa hizi tafadhari wasiliana na mimi kwa mawasiliano haya:
email: <emanuelbwire@gmail.com>
phone: +255759148350
+255785931455
Tafadhari usi bip. Naomba upige.
Mesege zote zitajibiwa.
 
kuchat tu au kuna kingine?
 
Hapo kutakuwa kuna lingine, haiwezekani kuchati tu kukawa na vigezo vingi hivyo.

Bora angesema tu awe faster kwenye kujibu sms, pamoja na kupokea simu kwa wakati.
 
Ile mitaa ya balenge, katundu. mseto hujaona wa kuchat nae had jf 2
 
Kuna dada wa Geita naye anatafuta mchumba humu nafikiri mtafute huyo. Yeye anamiaka 29
 
Hakuna mengine zaidi ya kuchati. Kama kunalingine litakuja baada ya kuchati. Hivi vigezo si tija sana, lakini nivya muhimu... Sana.... Huyo wa miaka 29, naye anaweza kunitafuta kama ana muda wa kutosha kuchat...
 
mkuu unataka binti wa kuchati naye tuu. au una mpango mwingine kwa sababu suala la kuchati haliitaji kujua kwamba awe Mrefu au mfupi. hata mwanamke hana haja ya kujua umbo lako. kikubwa ungeweka vigezi vya Elimu hapo naunga mkono na suala la dini kidogo naweza kukuunga lakini sio muhimu.

Chatting inaweza ikawa kupia Sms kwenye simu,au mitandao ya jamii kama e.g facebook au. Email kitu ambacho . Sio lazima Muonane . ni chatting tu. sasa suala la sura na umbo linakuja vip. KUWA MUWAZA DADA ZETU, WAKUELEWE
 
Sifa hizo zinalengj baadaye kupatamke bora. Nataka mchumba lakini kabla sijaingilia swala la uchumba nahitaji awe rafiki yangu kwanza 2fahamiane zaidi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…