Natafuta Rafiki

Je Mgao wa Umeme Tanzania ndio suluhisho la tatizo?

  • Total voters
    22
  • Poll closed .

Ikumbilo

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Posts
455
Reaction score
64
Natafuta marafiki bila kubagua jinsia,popote pale usomwapo huu ujumbe.

Sifa: Hakuna kigezo.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuni PM, asante.
 
Utatafutaje rafiki wkt umeficha detail zako labda ni jini.
 
We marafiki wote hawa wa Jf hawatoshi? Km 2pia hilo ombi facebook.
 
Natafuta marafiki bila kubagua jinsia,popote pale usomwapo huu ujumbe.

Sifa: Hakuna kigezo.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuni PM, asante.

mimi ni rafiki yako kuanzia sasa
 
mpaka hapa unazaidi ya marafiki 100000 hapa jf, hapa hakuna mtu mwenye uadui na mwenzake.
 
unajua pia ukiwa na marafiki wengi ni usumbufu maana sio kila mtu anaweza akawa rafiki, lazima ziwepo sifa, kama huchagui sifa ya rafiki hapo sasa inakuwaje ?
 
Mambo ikumbilo? Tushakuwa marafiki, vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Namtafuta rafiki oooohhhh rafiki..
Rafiki yako ni nani oohhhh ni nani??

Rafiki yangu fidodido oohhhh fidodido
Utamnunulia nini avaeee aringeeeee..

Ntamnunulia petee apate mchumbaaa
Haya mchukue uendeee nayeee..

Chamkononi kinajipasuaaaaaa
Tena na tenaa chamkononiii..........
Hata ukinuna chamkononi........
 
Huo wimb umenikumbusha mbali sana.
 
Huo wimb umenikumbusha mbali sana.
HahahaKwanza samahani kuchakachua thread yako Pili umenijia kwachani niliposoma heading Ya hii thread .. dahhhh maawazo yangu yalirudiMiaka ili tunachojua madaku, kuruka kamba, gololi etc..lolz
 
HahahaKwanza samahani kuchakachua thread yako Pili umenijia kwachani niliposoma heading Ya hii thread .. dahhhh maawazo yangu yalirudiMiaka ili tunachojua madaku, kuruka kamba, gololi etc..lolz

Tumetoka mbali sana, leo hii nikicheza gololi watanishangaa sana, lakini madaku, kuruka kamba yote hayo kanyaga twende. Bhabheja sana.
 
Tumetoka mbali sana, leo hii nikicheza gololi watanishangaa sana, lakini madaku, kuruka kamba yote hayo kanyaga twende. Bhabheja sana.
Hahahahaha lolvipi je kusukuma Tyre laBaiskeli na kijiti ..Hii ndo nilikuwa napenda kutengenezaMpira na soksi pamoja na mifuko ya Plastic bag (rambo) lolz
 
Hahahahaha lolvipi je kusukuma Tyre laBaiskeli na kijiti ..Hii ndo nilikuwa napenda kutengenezaMpira na soksi pamoja na mifuko ya Plastic bag (rambo) lolz

Duh, kwa kumbukumbu hizo unanifanya nitamani utoto lakini jamani wakati ukipita umepita, no way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…