Natafuta Rafiki

Je Mgao wa Umeme Tanzania ndio suluhisho la tatizo?


  • Total voters
    22
  • Poll closed .
Ni heri we utafutae marafiki kuliko yule atafutae maadui.....lol!!

Asante Kapipi, na wewe pia heri yako kwa kufunuliwa siri kuu kama hiyo iliyofichwa kwa wengi na sasa imefunuliwa kwako. Endelea kufurahia maisha.
 
Marafiki wengine mbona hamjitokezi? Hakuna chanjo hapa ni uzalendo kwa pamoja.
 
2fanye simple feast rafiki kwangu nyumbani huna haja ya kuhofu hapa ni nyumbani kwa great thinkers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…