mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
- Thread starter
-
- #21
Nimesema hivyo namaanisha nikimpigia cm apokee , cpendi ile nipo na fulani ucpige, mara amezima cm , mara hapokei bila sababu ya mcngi , ndio maana nikasema awe tayali mm nampenda sana mtu mkwel na muwazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Changamkia fursa hii mwanangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiwe na mipaka kwake kwani umekuwa mumewe??Nimesema hivyo namaanisha nikimpigia cm apokee , cpendi ile nipo na fulani ucpige, mara amezima cm , mara hapokei bila sababu ya mcngi , ndio maana nikasema awe tayali mm nampenda sana mtu mkwel na muwazi
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Kwamba Mimi niende kurukaruka na watoto??[emoji38][emoji38][emoji38]
Poa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba Mimi niende kurukaruka na watoto??[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwanza huwa sipokei simu,
Huwa sitembelei watu
Hadi hapo nishapoteza sifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wapi hii?Mwenyezi mungu amesema baada ya swala tawanyikeni mkatafyte riziki