Natafuta rafiki

Natafuta rafiki

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Mimi nipo dar natafuta mchumba yaani rafiki wakike awe mkorea au mzungu ila awe na pesa sitaki wazungu wa kariakoo please na awe tayari kuolewa welcome pm
 
jaribu kuandika kikorea na kizungu ili walengwa wakuelewe
 
  • Thanks
Reactions: THT
Mwanzo nilidhani Senior members wote ni watu fukani hivi smart!! Kumbe I was wrong bwana!!
 
Tafuta majukwaa ya wakorea huku ni bongoland.
 
Wakorea na wazungu mkuje huku mnaitwaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom