B boniphace louis New Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Feb 24, 2012 #1 kwanini watu huwa wanaumia sana katika suala zima la mapenzi?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Feb 24, 2012 #2 mbona kichwa cha habari na maelezo yako ni vitu viwili tofauti.....?
NusuMutu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 421 Reaction score 87 Feb 24, 2012 #3 Boniphace Louice,umechanganya ugoro na mtindi ukatuwekea mezani tunywe...,usirudie tena.