natafuta rakifi wa kiume

mwakilyambiti

Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
20
Reaction score
6
mimi ni mdada natafuta rafiki aliyetayari tafadhali tuwasiliane,dini yoyote,umri kuanzia 35-40.mengineyo tuingie chemba🙂
 
what do i do i cant reply or send a text hadi niwe nimefikisha 5 posts lol,mlioni pm truly sorry au naomba maelekezo zaidi
 
aku :bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::smile-big::smile-big::smile-big::wave:
 
Ukishafikisha post 5 ni PM namie nataka urafiki na wewe mie nipo Arusha na pia napatikana DSM kila mwisho wa mwezi kwa wiki 1.
 
Ayaaaaa, with that age limit, am out.
 
ukishajiunga tu hapa tayari wewe ni rafiki yetu!
sasa hebu fafanua zaidi urafiki huo bhana! kama vp we tupia e-mail watu tujaribu bahati!
 
Ex kidumu wangu mzazi King'asti, ebu kuya huku umuelezee hiyo age limit ametuwekea hapa wengine pesa mingi ila umri nakataa
 
Last edited by a moderator:
ukishajiunga tu hapa tayari wewe ni rafiki yetu!
sasa hebu fafanua zaidi urafiki huo bhana! kama vp we tupia e-mail watu tujaribu bahati!

u will have my email and phone number but not in public sio wote watakaotaka niwe rafiki yao jamani :happy:,hapa haujaribu bahati bana sio bahati nasibu hii,ukipenda we bacome friends that's simple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…