Natafuta ramani nzuri ya kizungu

Natafuta ramani nzuri ya kizungu

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.

Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.

Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
 
FO7fJbHX0AIQBp9.jpg
 
Ingia Pinterest utapa Ramani unachotaka ila Kujenga nyumba zile inabidi mafundi nao wawe wanajua kazi na material sio haya ya mchina.
 
Ingia Pinterest au google tu mkuu,,kila kitu utapata!
 
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.

Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.

Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
 
Attachments

  • 5560B28C-7BF6-4899-A477-190D70E0EC5F.jpeg
    5560B28C-7BF6-4899-A477-190D70E0EC5F.jpeg
    63.4 KB · Views: 100
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.

Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.

Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
Ramani-ya-vyumba-viwili-2-1030x776.jpg

Cheap unajenga 2 bedrooms masters, sitting,kitchen
Tofali 1500*1000 bati 30*25000
 
unataka nyumba ya kizungu ww mzungu?
unaweza kusihi kizungu
upo uzunguni
unayajua mahitaji ya kizungu mpka wanajenga nyumba ndogo
unaweza jenga hyo nyumba ya kizungu ila vitu vikawa out of place kuwa makini kama wazazi wako walitokea nyumba ya tembe na msonge ww dumisha mila usilete uzungu[emoji41]
 
Back
Top Bottom