music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Asante sana best kwa idea, nikizipata nitashea pia hapaIngia you tube andika small house design utapata mambo humo hadi upagaweee
Duh nzuri sana hii japo sipendi contemporary wanasema bati uwa zinaoza.
Ok mkuu shukraniIngia Pinterest utapa Ramani unachotaka ila Kujenga nyumba zile inabidi mafundi nao wawe wanajua kazi na material sio haya ya mchina.
Wazungu wana design nzuri sana za nyumba haswa Europe, uwa naona sana kwenye moviesNyumba ya kizungu ipoje?
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.
Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.
Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
Ni kweli, zinatwamisha majiDuh nzuri sana hii japo sipendi contemporary wanasema bati uwa zinaoza.
Nyingi zinakuwa simple na zinaingiza hewa ya kutosha.Nyumba ya kizungu ipoje?