Natafuta ramani nzuri ya kizungu

Mbongo bila kuweka magypsum kwenye ceiling board na kujaza mataa-taa ya blue, red na yellow kama kama fuso au disco anaona bado hajafanya decor.

Na kinachoshangaza.... ni almost kila mbongo anafanya the same damn thing... ni kama vile wanaigana.

Exposure ni 0% kwa watanzania when it comes to Interior design. Hawajui kitu na hao mafundi wanaowawekea hayo madude ndio hawajui kitu kabisa kuhusu Interior design.
 
Dah una hasira na wabongo mkuu [emoji23][emoji23]
 
Utajenga nyumba ya kizungu Kama unavyotaka Ila kuishi kizungu kukakushinda. Utashangaa pole pole unaweka jembe sebuleni/nyuma ya mlango.
Nadhani ungeishi kizungu nyumba yoyote itakufaa. Maana uzungu ni utamaduni na sio majengo.
Nimejikuta nacheka, jembe nyuma ya mlango!!!
 
Wazungu wana aina nyingi za house designs, je wewe unataka ipi?

Maana sehemu kubwa wana nyumba za mbao...
 
Umeongea nachowaza kila siku
 
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.

Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.

Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta

Ramani inaanzia kwako. Nyumba za kizungu is too general. Una nini au uko tayari kwa kiasi gani, i.e, una uwanja waku-accommodate hiyo nyumba ya kizungu? Sio unajenga nyumba halafu baadae uzio/ukuta uko mita moja kutoka kwenye nyumba. Wakati mwingine huwa nikiona nyumba za namna hii nashindwa kuelewa what was s/he thinking.
 
hii ni ya kiarabu, ya jangwani. huwa sipendi hata kuiona. wengi waliojenga aina hii wanajuta kwasababu zinavuja ikinyesha. kule jangwani huwa zinajengwa kwasababu hakunaga mvua, wao wamekuja kujenga huku ambako mvua inanyesha hadi mafuriko.

sawa na wale wanajenga mapaa marefu yaliyochongoka ambayo hujenga ulaya ili iwe rahisi kuporomosha theluji ikidondoka juu ya paa, huku hakuna theluji wao wanalipaisha paa. ushamba mtupu.
 
Sasa wasanifu majengo wa bongo wanashindwa kuja na ushauri mzuri kwa wateja wao ili tupate nyumba zinazoendana na mazingira yetu.

Tupe japo mfano wa jengo linalofaa hapa kwetu bongoland.

Au tutembee na mapaa ya majengo ya serikali.
 
mazingira ya bongo hayana tofauti na mazingira ya Nigeria. hasa DSM, angalia mijengo ya nigeria, tafuta ramani zao. kwisha.
 
Gho
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.

Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.

Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
Ghofa au kawaida. Utote maelezo kamili ili upate msaada unaotaka. Vyumba vingapi
 
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.

Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.

Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
Hakuna kitu kama hicho. Eti ramani ya kizungu? Sijui kama utakuja uipate maana haipo na kama ipo ni kichwani mwako
 
Kweli Kabisa mkuu,umenena.
 
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.

Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.

Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
Subiri mashambulizi, watakuambia kawaulize wazungu wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…