Natafuta Ramani Ya Nyumba

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
356
JF kila kitu kinawezekana....wakuu natafuta ramani ya nyumba ya vyuma vitatu au vinne...nyumba ya kawaida...au ikipatikana hata ya ghorofa moja..lakini ground floor iwe na na hata vyumba viwili i case nikishidwa kumaliza niweze kuishi hata ya chini...

So kwa ufupi hapa naweza pata ramani mbili ya nyumba ya kawaida na ya ghorofa I will be amazed...kuna hela zitaanza kunijia nataka nizifanyie mambo kabla mda haujaisha...

kama ni attachement unaweza weka hapa au nitumie kwa email ford_298@hotmail.com

Shukrani natanguliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…