Kuna yeyote anayejua kama ramani za hivi viwanja vilivyopimwa katika vitongoji vya Dar es Salaam vipo online? Na kama vipo online naomba address yake tafadhali.
Ki ukweli viwanja vilipaswa viwe online, mtu ujue kila eneo linamatumizi gani, haya mambo ya kwenda hadi manispaa yanasababisha foleni na kupunguza tija kitaifa