JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Mar 3, 2011 #1 jamani wadau natafuta hizo battery baada ya zile nilizokuwa nazo kuisha.nimejaribu kutafuta sehemu mbalimbali bila mafanikio.anayefahamu wapi napoweza kuzipata tafadhali!
jamani wadau natafuta hizo battery baada ya zile nilizokuwa nazo kuisha.nimejaribu kutafuta sehemu mbalimbali bila mafanikio.anayefahamu wapi napoweza kuzipata tafadhali!
MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Mar 4, 2011 #2 Jaribu maduka ya Camera na International (Super)Markets
Visenti JF-Expert Member Joined Jul 24, 2008 Posts 1,025 Reaction score 329 Mar 5, 2011 #3 Jaribu GAME Mlimani City
safariwafungo Senior Member Joined Apr 26, 2008 Posts 116 Reaction score 51 Mar 5, 2011 #4 jaribu na haidery plaza pale post huwa kuna staff za namana hiyo!