Wakuu heshima zenu ! ! Sisi ni kampuni ya binafsi ya wazalendo, Tumefungua matawi kadhaa hivi karibuni, ili kupata wafanyakazi wapya panahitajika taratibu kadhaa ikiwemo na udhamini, kwa kuwa sisi si wenyeji katika maeneo kadha tungependa kutumia makampuni maaalumu kwa kazi hizo za ajira na haswa wenye kuwadhamini hao watumishi au kukodi huduma hizo kwa lugha ya kitaalam tunahitaji ku-OUTSOURCE hizo huduma, tunaomba msaada kwa yeyote anaye wajuwa hao mawakala au hayo makampuni yanayotoa huduma hizo.. atujulishe PM au email jifunze.learn@gmail.com