Innocizy JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,736 Reaction score 1,056 May 11, 2022 #1 Hello, Natafuta stationary au duka ambalo linauza hizi kamba za kuning'inizia vitambulisho vya staff, na ambazo zinavutika na kurudi (Retractable reels) kama pichani. Kama unazo kindly nicheki PM tuongee. Nahitaji kama 150 hivi. Asante
Hello, Natafuta stationary au duka ambalo linauza hizi kamba za kuning'inizia vitambulisho vya staff, na ambazo zinavutika na kurudi (Retractable reels) kama pichani. Kama unazo kindly nicheki PM tuongee. Nahitaji kama 150 hivi. Asante