Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 750
- 656
Kwa yeyote msichana mwnye kujiheshimu,busara na utulivu! Sitojal dini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
napita tu
Kwa yeyote msichana mwnye kujiheshimu,busara na utulivu! Sitojal dini!
Mtaani kwenu hakuna mabinti? Au hujui kutongoza?
mi niko Nzega.....nitafaa....?
nimehama jamani........ni kwa nini upotee hivyo lakini.......Hivi Yaeda chini na Nzega ni eneo moja au...??
mi niko Nzega.....nitafaa....?
Sogea huku kwetu kahama mabinti wamejaa tele, tena wenye heshima zao!
dogo acha hayo maswala ya kutafuta urafiki na mabinti kwenye mitandao... soma kwanza.. kama ni marafiki wa kawaida hata xul mates wanatosha au majirani hapo shy wanatosha... mi ni kakaako wa shy nyasamba vijijini.. usinimaindi ni ushauri tu... u stil have a long way to go to pursue ur future carrier kaka... maisha taiti soma kwanza ..