Natafuta rice cooker!

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari!
Kama kuna mtu yeyote anauza rice cooker used kwa bei rafiki ya awamu ya sita, naomba anitafute.

Bei elekezi ya mwaka wa fedha ni 30000/=
Pesa ipo kwenye mfuko wa Shati hapa...

Chap kwa haraka unapata pesa
Location kigamboni Dar es salaam
0784312904
 
we ni Ke au Me?
 
Kuwa serious kidgo unataka rice cooker kwa 30k mkuu kwanza used utapata kitu kibovu ... jiongeze nikupe hii [emoji116][emoji116]...
 
Umeongea ukweli kidogo.
Bei Gani hii???
Ujazo kg 2+
Kampuni ya zuhne
Ni outomatic
Free home delivery
Una toa sield mwwnyewe
Una testiwa
Una elekezwa matumizi sahihi
Ukisha ridhika ndipo utafanya malipo
bei 120,000
0742612561

Location
K/koo jengo la simba sport club hapa
Tupo wazi 24/7 kwanzia saa 8:00 asubuhi
Karibu sana
 
Nataka used Mkuu!
120000/= gunia mbili za mpunga msimu huu wa mavuno.

Sikia kama ipo ya 35k nisaidie.
 
Hiyo BEI uliyoitaja ni ya pressure cooker na siyo Rice cook, Rice cooker mpya haiwez kuzidi elfu 55 Kwa mpya
 
Hiyo BEI uliyoitaja ni ya pressure cooker na siyo Rice cook, Rice cooker mpya haiwez kuzidi elfu 55 Kwa mpya
Zipo mpaka za 50k au 35k kama alivyo sema mtoa uzi .... hatuwezi wote kufanana
 
Hiyo BEI uliyoitaja ni ya pressure cooker na siyo Rice cook, Rice cooker mpya haiwez kuzidi elfu 55 Kwa mpya
Ungeweka ushahidi wa picha ungetusaidia sana sisi wengine ambao hatuamini kitu kama hicho
==Weka picha ya rice cooker ya 55000
==Weka size yake I mean kg ngapi
==Weka kampuni ya hiyo rice cooker

Tofauti na hapo itakuwa stori more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…