Natafuta room Mabibo Hostel

dy/dx

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
613
Reaction score
112
mimi ni mwanafunzi wa kiume wa UDSM mwaka wa tatu naomba kama kuna mwanafunzi anaweza kunibeba au kuniuzia room Mabibo Hostel anaweza kuni-pm. Ni kijana safi tu, mpole. Thanks in advance wakuu
 
mpaka umefika mwaka wa tatu unataka kubebwa kwani ulishindwa kujipanga hata second year ili uishi mtaani ili kule madogo uwaachie space pale bibo,ungekuwa mwanamke ningekusaidia
 
mpaka umefika mwaka wa tatu unataka kubebwa kwani ulishindwa kujipanga hata second year ili uishi mtaani ili kule madogo uwaachie space pale bibo,ungekuwa mwanamke ningekusaidia

mimi mwanamke hebu naomba unisaidie......
 
Asanteni sana wakuu,nimeshafanikiwa kupata. Mungu awabariki sana.
 
Aliye na chumba kingine mabibo cha kununua au kunibeba anistue jaman 0752485142
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…