Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 209
- 368
Mtu yeyote aliepo dar anaefahamu sehemu ambapo Kuna room kali tuchange, tulipie, tuishi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Male, hamna pisi waku take hio risk. Tutafahamiana tu mbele kwa mbeleWewe ni me au ke? Na unahitaji me au ke?
Unataka kuishi na mtu hamjuani?
Good. Maisha popote ila kua makini.Male, hamna pisi waku take hio risk. Tutafahamiana tu mbele kwa mbele
Mkuu ndo ulivyoandika au umechapiaUnsual
Got youGood. Maisha popote ila kua makini.
Utanichangia pey nichukue chumba lodgeSiku akija babe wangu je we utaenda wap ?
Mnataka muanze kubanduana humo au sio.. mie kulala hata na ndg yangu wa damu sitaki.mk
Mkuu hayo ni yakoMnataka muanze kubanduana humo au sio.. mie kulala hata na ndg yangu wa damu sitaki.
Simple: "Laki nne ni kubwa, ila laki mbili ni ndogo"Lipo jambo hapa,unashindwaje kuishi peke yako
20Una umri gani??
Kuna umri ukifika sio busara wanaume kukaa chumba kimoja.
Got youTafuta mtu mnaefahamiana,usije ukaingia mkenge ukapanga na watu waliokimbia kesi huko kwao,mkaja kuunganishwa sehemu moja. la muhimu zaidi jitahidi kujisimamia mwenyewe maishani
Okay!Kwa namna dunia ilivyobadilika kwa sasa; kwa kweli sikushauri wala kukuunga mkono. Binafsi nakushauri utafute tu chumba kinachoendana na uwezo wako. Usilazimishe mambo tafadhali.
Haogopi hata kukutana na mende😅Good. Maisha popote ila kua makini.